Watu weusi wabaguliwa Korea kusini

Watu weusi wanyanyapaliwa Korea Kusini
Tangu kuanza kwa ugonjwa wa
Ebola kumekuwapo na malalamiko ya watu wanaotoka Barani Afrika kutengwa
kwa kutopewa huduma za kijamii nchini Korea ya kusini ikiwamo
kutoruhusiwa kuingia katika Migahawa na usafiri wa umma kwa madai ya
kuwa huenda wana virusi vya Ebola.
Aidha, baadhi yao wamedai watu weusi wanaposimamisha TAXI hazisimami kutokana na hofu ya virusi hivyo vya Ebola.nimezungumza na Kijana RWEHUMBIZA KALANGALI,ambaye ni mwanafunzi anayesoma huko Korea Kusini, na hapa anaeleza hali ilivyo.
CHANZO CHA HABARI BBC SWAHILI
%2B(1).png)
0 comments: