DKT. SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU ZANZIBAR SIKU YA JANA
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira alikuwa Naibu Waziri
wa Afya.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Juma Duni Haji kuwa…
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira alikuwa Naibu Waziri
wa Afya.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Juma Duni Haji kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Afya,awali alikuwa
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano hafla ya kiapo imefanyika katika
Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar siku ya jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mahmoud Thabit Kombo kuwa Naibu Waziri wa Afya, hafla ya
kiapo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Meja mstaafu Juma Kassim Tindwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Bw.Omar Khamis Othman kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mwanajuma Majid Abdulla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya
Chake Chake Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Bw.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi siku
ya jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,awali alikua Afisa Tawala
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini magharibi Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Bibi Hanuna Masoud Ibrahim kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chake
chake Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
(Picha na Ramadhan Othman Ikulu.)

%2B(1).png)
0 comments: