RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATOA POLE KWENYE MSIBA WA MAREHEMU JAJI MAKAME
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini katika kitabu cha maombolezo
alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki
jijini Dar es Salaam. Marehemu Makame alifariki katika Hospitali ya AMI
Trauma Centre Jijini Dar es Salaam Agosti 19, 2014.…
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini katika kitabu cha maombolezo
alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki
jijini Dar es Salaam. Marehemu Makame alifariki katika Hospitali ya AMI
Trauma Centre Jijini Dar es Salaam Agosti 19, 2014.
Mama
Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda
kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame, Masaki jijini Dar es
Salaam jana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa
walipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame, Masaki
jijini Dar es Salaam jana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na watoto wa marehemu pamoja na Jaji
Mstaafu Mark Bomani alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa
Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu,
Mheshimiwa Lewis Makame Masaki, jijini Dar es Salaam jana.
(PICHA NA IKULU)

%2B(1).png)
0 comments: