MRADI WA KUZUIA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE WAZINDULIWA JIJINI MBEYA
|
Naibu
Meya wa Jiji la Mbeya Chifoda Yesaya Fungo akizindua Mradi wa kuzuia
ukatili wa kijinsia kwa wanawake katika ukumbi wa Halmashauri jiji Mbeya
|
| Mrtibu wa MBEPAU Jane Lawa akitoa maelezo mafupi jinsi mradi huo utakavyofanya kazi kwa kushirikiana wadau mbalimbali katika jamii |
| Mratibu wa NGOS Victor Kabuye akifafanua zaidi jinsi mradi huo utakavyofanya kazi karibu na jamii |
| Baadhi ya wageni waalikwa katika uzinduzi wa mradi huo wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi |
|
MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAKRISTO MKOA WA MBEYA AKITOA NENO LA SHUKRANI
|
| PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUZINDULIWA KWA MRADI HUO |
%2B(1).png)
0 comments: