si hivyo tu fuatana nami
hao vijana wako kuchuma chai
Hata kwenye kilimo vijana hawakubaki nyuma katika kuiosaidia jamii
Baada ya kazi za kijamii muda wa ibada ulipofika tunarudi kumtukuza MUNGUHabari ya ndiyo hiyo Tumwabudu Mungu katika Roho na kweli
Baada ya sifa Mtumishi wa Mungu Apostle Jeremiah alianza kufundisha Neno la Mungu lenye kuleta uponyaji kwa watu kuhusu kufunguliwa katika laana






%2B(1).png)
0 comments: