Askofu Mteule C. Nguvumali pamoja na mke wake wakati wa sherehe ya kumpongeza
Askofu Alinikisa Cheyo Askofu kiongozi wa kanisa la Moravian Tanzania ni
miongono mwa wageni wa rasmi katika ibada hiyo
Mch C. Mwaitebele Mwenyekiti wa jimbo la Kusini Rungwe ndiye aliyeongoza ibada
maa;lumu ya kumpongeza Askofu mteule wa Jimbo la Rukwa
waliohudhuria ibada hiyo
Ni baadhi wa Wachungaji pamoja na wakristo waliohudhuria katika ibada hiyo ya kumpongeza
Askofu mteule C . Nguvumali
Apostle Jeremiah Mwakanyelenge ndiye aliyekkuwa mshereheshaji MC katika sherehe hiyo
ni mwimnaji mhubiri na ni Mc
Hii ni zawadi ya Gari ambayo alizawadiwa Askofu Mteule Nguvumali T 120 CTE Cruser
Askofu mteule Conrad Nguvumali akipokea zawadi ya gari T 120 CTE Cruser
Askofu Mteule C. Nguvumali akiwa ndani ya gari yake akiwashukuru kwa zawadi aliyopewa
anamshukuru Mungu na anashangaa muujiza huo
Askofu mteule wa Jimbo la Rukwa Mchungaji Conrad Nguvumali ambaye ni katibu Mkuu wa kanisa la Moravian Tanzania na kwa sasa amechaguliwa kuwa Askofu Mteule katika Sinodi ya uchaguzi wa Jimbo hilo ambao ulifanyika mapema mwaka huu na kuchaguliwa kushika nafasi hiyo. Baada ya aliyekuwa Askofu wa Jimbo hilo Mch Kasitu kusataafu wadhifa huo.
Ibada hiyo maalumu ya kumpongeza Askofu huyo Mteule iliyofanyika katika Ushirika wa Chuo Kikuu Teofilo Kisanji. Ibada hiyo ilihudhuriwa na wachungaji wengi pamoja na Wakristo, ibada hiyo iliongozwa na Mchungaji Clement Mwaitebele Mwenyekiti wa Jimbo la Kusini.
Mchungaji C. Nguvumali ambaye ameriki kwa nguvu zake zote katika kukiimarisha Chuo Kikuu cha kwanza cha Kimoravian















%2B(1).png)
0 comments: