Total Pageviews

Recent news

About Us

Powered by Blogger.

Pages

Friday, 4 July 2014

TUNDUMA KWA WAKA MOTO WA INJILI

Unknown / / 0
Umati wa watu uliofurika katika viwanja kanisa la EAGT mwaka katika mkutano wa Injili Tunduma


Mtumishi wa Mungu Joseph Lwiza maarufu kwa J J Lwiza Maua akihubiri katika mkutano mkibwa wa Injili Tunduma
Mtume Apostle Jeremiah Mwakanyelenge Pamoja na Mwalimu Joshua Mwakitalima wakifurahia jambo na style ya mtumishi Lwiza alivyokuwa akimwakilisha Mungu

Umoja wa waimbaji mkoa wa Mbeya wanaendesha mkutano mkubwa mno ni mkutano wa kihistoria haijawahi kutokea.
Hatimaye waimbaji wameamka sasa na kuanza kuandaa mikutano ya injili ili kuwaleta watu kwa Yesu na sasa tunaona watu wakioklewa, wakifunguliwa magojwa yao

Unknown


Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit. Ut odio. Nam sed est. Nam a risus et est iaculis adipiscing. Vestibulum ante ipsum faucibus luctus et ultrices.
Follow me @Bloggertheme9

0 comments:

Recent News