Mnakaribishwa katika tamasha la kihistoria la kusifu na kuabudu litakalofanyika katika kanisa la PHAM kama ilivyoandikwa hapo juu.
WATATU WAUWAWA KWA KUTUHUMIWA KUTEKA GARI MSANGAMWELU TUNAOMBA RADHI KWA PICHA MTAKAZOZIONA NIA NI NDUGU KUTAMBUA MAREHEMU HAO
| Moja ya mwili wa marehemu aliyetuhumiwa kwa utekaji gari ukiwa umebebwa kupelekwa kwenye gari ya Polisi |
| Mwili wa aliyetuhumiwa kwa utekaji gari ukiwa unasubiriwa kuchukuliwa na polisi mara baada ya kuuwawa na wananchi wenye hasira kali |
| Umati wa wananchi waliojitokeza kutambua miili ya marehemu hao kabla ya Polisi kuondoka eneo hilo la tukio |

%2B(1).png)
0 comments: