Red Cross wazindua maadhimisho ya siku Red Cross duniani, yanayofanyika mkoani Mbeya
|
Maandamano ya skauti na shule
mbalimbali za sekondari yakiingia katika viwanja vya Ruanda Nzovwe kwa ajili ya
uzinduzi wa siku ya Msalaba mwekundu duaniani
|
| Rais wa chama cha Msalaba mwekundu nchini Dkt George Nangale akipokea maandamano |
| Rais wa chama cha Msalaba mwekundu nchini Dkt George Nangale akiwahutubia wananchi katika uzinduzi huo |
|
Mwenyekiti Mkoa wa Mbeya,
Ulimboka Mwakilili akimkaribisha Rais wa shirika hilo, George Nangale!!
|
|
Viongozi wa chama cha Msalaba mwekundu wakiwa wameshikana mikono
kuashiria umoja na mshikamano
|
| Mgani rasmi akisalimiana na wachezaji kabla ya kuzindua michezo mbalimbali itakayoshindaniwa kwa wiki nzima ya maadhimisho ya Red Cross mkani hapa |
%2B(1).png)
0 comments: