MWANDISHI WA MAREKANI AKATWA KICHWA
Kikosi cha Kiislam cha kijeshi chenye
msimamo mkali kimeachilia video inayoonyesha mauaji ya mwandishi wa
habari mwenye asili ya Marekani, James Foley, aliyepotea tangu
alipokamatwa mateka na kushikiliwa nchini Syria miaka miwili iliyopita
na sasa ameuawa.
Ikulu ya Marekani imesema inaifanyia uchunguzi wa kina video hiyo na ikithibitika kwamba mwandishi huyo wa habari ni wa taifa hilo, serikali ya Marekani itataka ufafanuzi wa kina ilikuaje na kwa nini James Foley auawe.

CHANZO CHA HABARI www.globalpublishers.info
%2B(1).png)
0 comments: