MBEYA
Wadau
mbali mbali wa Elimu Nchini wametakiwa kuwekeza zaidi katika Elimu ili
kusaidia kuboresha kiwango cha
taaluma nchini kwa kuchangia misaada
mbalimbali katika secta hiyo
ndugu Steven Sikluzwe akizungumza katika harambee hiyo.
Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa bodi ya shule ya Amani Day care Steven Sikaluzwe wakati akizungumza kwa niaba ya mgeni rasimi Askofu wa kanisa la pentecoste victory mission Alex Fella katika harambee ya kuchangi ujenzi wa shule ya watoto wa chekechea Amani Day Cear iliyofanyika Nanenane kwenye jengo la tanapa.

Amesema
kuwa katika kuinu kiwango cha elimu na
taaluma wadau wa elimu wanatakiwa
kuwekeza zaidi kwenye Elimu kuliko kuwekeza kwenye vitu vingine
ambavyo havina manufaa yeyote katika
jamii.
Aidha
ameongeza kuwa jamii ikiwekeza kwenye
Elimu itasaidia kupata wasomi na wataalamu mbalimbli ambao watakuwa
msaada mkubwa katika jamii na Taifa kwa
ujumula.
Hata
hivyo Sikaluzwe amedai kuwa serikali haina
budi kutoa kipao mbele kwa shule za binafisi ya kwa kutoa usajilibila
kipingamizi kwa shule zilizotimiza vigezo, kwani zimekuwa msaada mkubwa wa kutoa
Elimu kwa jamii.
Kwa
upande wake Mkurugenzi wa shule hiyo Amos Steward amewataka wazazi kuwa makini wanapowapeleka wa toto wao kuanza masomo
kufuatia kuanzishwa kwa shule nyingi
zisizo sajiliwa ili kuepuka kutapeliwa.
%2B(1).png)
0 comments: