Mungu anapotaka kutenda jambo kwako haangalii watu wanasema nini juu yako bali huangalia wewe unataka nini kwake.
- Mimi mwenyewe nitaanza kutambulika(waamuzi 14:1-21)
- Utakuwa mtu mwenye kuhangaika/Mtu mwenye uhitaji mwingi(Mwanzo 30:1 )
- Utakuwa ni mtu unayeshuka na kuomba toba(2Nyakati 7:10)
- Utakuwa mtu wa vita dhidi ya uovu wa ibilisi(Hesabu 10:9, Yoeli 2:1)
- Utakuwa ni mtu wa kusubiri jibu kutoka kwa Mungu(Yoeli 2:21-26)
MAMBO MUHIMU UNAYOTAKIWA KUYAFUATA ILI UFIKE KILELENI
- Kuwa makini na maisha yako ya rohoni na mwilini(Zaburi 1:1, Mhubiri 9:13-16)
- Usimpe ibilisi nafasi (Efeso 4:27)
- Kuwa na bidii katika kazi zako(Mithali 22:29, Mhubiri 9:10, Wafilipi 4:13)
- Lazima uwe na hekima(Mhubiri 7:12)
%2B(1).png)
0 comments: