Mafanikio ni kufika katika kile unachokihitaji, kiwe kibaya au kizuri.
2Samweli 21:1-13
MAMBO MUHIMU YATAKAYOFANYA UFIKE KILELENI(KWENYE MAFANIKIO) KWA UAMINIFU
- Muogope Mungu kwa njia inayofaa (Mithali 9:10, Zaburi 119:105)
- Chagua marafiki wenye hekima(Mithali 13:20)
- Epuka kula au kunywa kupita kiasi(Luka 19:41, Mithali 23:1,20,21, Yeremia 29:11)
- Usilipize kisasi(Usiwe mtu wa kisasi)(Warumi 12:1, Wafilipi 1:6)
- Fanya kazi kwa bidii na uwe mtu wa kubadilika kutaka maendeleo(2Thelasonike2:3-10, Yohana14:12)
- Ufuate kanuni ya Mungu(Mathayo 7:12, Torati 4:40, Yoshua 1:7, Luka 17:6)
- Dhibiti ulimi wako(1Petro 3:10, 1Falme 10:7, Warumi 12:2)
- Uwe mtu wa maombi(1Thelasonike 5:16)
%2B(1).png)
0 comments: