pichani ni gari ya abiria yenye namba T519 DBJ iliyopata ajali mjini Arusha
Ajali mbaya imetokea eneo la Tengeru jijini arusha ikihusisha gari ndogo ya abilia yaan hiece inayo fanya safari zake Usariver na katikati ya mji wa Arusha na gari ya mafuta watu tisa wamefaliki papo hapo na wawili kujeruhiwa vibata kutokana na ajali hiyo mbaya iliyo tokea eneo la Makumila wilayani Arumeru ambapo magari hayo yamegongana uso kwa uso
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebatus Saba anasema ajali hiyo imetokea mida ya saa kumi na mbili jioni ambapo gari ndogo ya abilia ili hama kwenye site yake na kuivaa gari ya mafuta yenye namba T582 ACR lililokuwa likitoka Moshi kuelekea Arusha.
Masuhuda wa ajali hiyo wanadai kuwa ni uzembe wa dereva wa gari ndogo hivyo wakaomba viongozi wanao husika na seria barabara ni kutengeneza
%2B(1).png)
0 comments: