Total Pageviews

Recent news

About Us

Powered by Blogger.

Pages

Thursday, 30 October 2014

Rais wa Zambia, Michael Sata
Rais wa Zambia, Michael Sata


Baada ya siku ya Jumanne kuamkia Jumatano kuzagaa kwa uvumi kuhusu kufariki kwa rais wa Zambia Michael Sata, hatimaye jana Serikali ya nchi hiyo imethibitisha kifo chake.

Sata aliyekuwa na umri wa miaka 77 alisafiri kuelekea jijini Londo Uingereza juma moja lililopita kwaajii ya kupata matibabu zaidi lakini hii jana katibu wa baraza la mawaziri, Roland Msiska amethibitisha kifo chake.
Akitoa tangazo hilo mapema jana alfajiri, Roland amewaambia wananchi wa Zambia kwa masikitiko makubwa angependa kutangaza kifo cha rais wao aliyekuwa akipatiwa matibabu nchini Uingereza.
Tangazo hili linathibitisha madai ya vyama vya upinzani na watu wa karibu wa rais Sata ambao mara kadhaa walidai kuwa kiongozi huyo anaugua na ameshindwa kutekeleza majukumu yake kama rais lakini mara zote Serikali imekuwa ikikanusha hadi juma moja lililopita ilipothibitisha kuugua kwa rais Sata.
Wakati alipokuwa akiondoka kuelekea jijini London kwa matibabu, rais Sata alimteua waziri wa ulinzi na sheria Edgar Lungu kukaimu madaraka ya rais kwa kipindi ambacho hatokuwepo.
Makamu wa rais Guy Scott ambaye mara kadhaa amekuwa akishiriki shughuli mbalimbali za Serikali kama kiongozi wa nchi, yeye ana uraia wa Uskochi hali ambayo inamfanya ashindwe kuwa rais kamili wa taifa la Zambia kwakuwa wazazi wake hawakuzaliwa nchini Zambia.
Sata ambaye alibatizwa jina la "King Cobra" na wafuasi wake wakati alipochaguliwa mwaka 2011, alionekana kama mbadala wa siasa za Zambia na mtu ambaye alikuwa wavitendo licha ya kukosolewa kwa sehemu kubwa na upinzania.
Hivi karibuni rais Sata alianza operesheni dhidi ya wapinzani wake na waandishi wa habari wlaiokuwa wakikosoa Serikali yake jambo ambalo lilianza kumchora kama mmoja wa viongozi wababe kusini mwa bara la Afrika.
Read More

0 comments:

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjN6f05T8sAOt5lDuwZo9G-Rwkk7vlW0vGA101MVhkVPK_YSWCEBCCYR6JxQle_ymRKpsYF_ktAcBRMHDuQiblZ83T5Ry-_oEnwfGrgjkxGuVjrmJCx9pTsKErnMcwkG56NB5MxR0IRwTI/s1600/IMG_20141029_215400.JPG
pichani ni gari ya abiria yenye namba T519 DBJ iliyopata ajali mjini Arusha
   Ajali mbaya imetokea eneo la Tengeru jijini arusha ikihusisha gari ndogo ya abilia yaan hiece inayo fanya safari zake Usariver na katikati ya mji wa Arusha na gari ya mafuta watu tisa wamefaliki papo hapo  na wawili kujeruhiwa vibata kutokana na ajali hiyo mbaya iliyo tokea eneo la Makumila wilayani Arumeru ambapo magari hayo yamegongana uso kwa uso

  Kamanda wa polisi mkoa wa  Arusha Lebatus Saba anasema ajali hiyo imetokea mida ya saa kumi na mbili jioni ambapo gari ndogo ya abilia ili hama kwenye site yake na kuivaa gari ya mafuta yenye namba T582 ACR lililokuwa likitoka Moshi kuelekea Arusha.
 Masuhuda wa ajali hiyo wanadai kuwa ni uzembe wa dereva wa gari  ndogo hivyo wakaomba viongozi wanao husika na seria barabara ni kutengenezahttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgudB8IHrqtLrrOYoVFtQmwn8jLR6f9HMzJfJYaKR6-6ootsdT_-IKZkhd_ik4RgHQhuSQ1mrueite2vEst6ZFwanatgiw1bug3AQclABaMeKAg6QpZgCosBPMHHw3SMtcXkzRnfvfYCPg/s1600/IMG_20141029_215429.JPG Read More

0 comments:

BONYEZA HAPA KUSIKIA MAHUBIRI YA APOSTLE JEREMIAH MWAKANYELENGE

Read More

0 comments:

Tuesday, 28 October 2014

  Ni miongon mwa maswali waliyo nayo watanzania weng kuhusu uchaguz mkuu mwkan hii ni kutokana na kwepo kwa makundi tofauti yanayokuwa yakipinagana hasa kwa upande wa siasa ndani ya Tanzania, jambo ambalo limechukua sura mpya kwa viongoz na wananchi wa Tanzania ambapo kumezuka makubaliano ya wananchi UKAWA dhidi ya chama tawala CCM

makubaliano ya pamoja, kuking’oa madarakani Chama tawala.
Utiaji huo saini makubaliano ya kukishinda Chama cha Mapinduzi CCM, katika uchaguzi ujao, umefanywa na viongozi wa vyama vinne, huku tukio hilo likishuhudiwa na wafuasi wao.
Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani CHADEMA, Dr. Willibrod Slaa ni miongoni mwa viongozi waliotia saini makubaliano hayo na amesema vyama hivyo vitasimamisha wagombea wake kwa pamoja kwenye ngazi zote za uchaguzi kuanzia serikali za mitaa mpaka ngazi ya urais.
Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim seif Sharif Hamad anasema tukio hilo la vyama kusaini makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la kuing’oa CCM ni muhimu na la kihistoria.
Viongozi waliotia saini waraka huo wa makubaliano ni Freeman Mbowe Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, Profesa Lipumba Mwenyekiti wa Chama cha wananchi CUF, Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye pia ni Makamu wa kwanza rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, James Mbatia Mwenyekiti NCCR Mageuzi, Mosena Nyambabe Katibu Mkuu NCCR Mageuzi, Dr Emmanuel Makaidi Mwenyekiti NLD na Tozzi Matwanga Katibu Mkuu wa NLD. Read More

0 comments:

MKAZI wa kijiji cha Luteba, wilayani Rungwe mkoani Mbeya, jina linahifadhiwa (81) amedaiwa kubakwa na watu wasiojulikana na kumsababishia maumivu makali.
 
Akisimulia mkasa huo Bibi huyo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku majira ya saa 8:00 wakati bibi huyo akiwa amelala nyumbani kwake, ambapo alisikia kishindo cha watu ambao walimvamia na kumfunga kitambaa usoni na kuanza kumuingilia kimwili.
Niliwaambia niwape hela wakasema hawana shida na kuniambia nikipiga kelele wataniua na ndipo walipoanza kunivua nguo kinguvu na kufanikiwa kunitendea unyama huo na na kuondoka na damu iliyokuwa ikinitoka
alisema  
Alisema walipoondoka aliamua kupiga kelele za kuomba msaada kwa majirani waliompeleka katika kituo cha afya kwa msaada zaid.
 
Mganga Mkuu wa kituo hicho Dk. Edwin Mwakisisya, alikiri kumpokea Bibi huyo na kudai kuwa wanaendelea kumfanyia matibabu kwa lengo la kumrudisha katika hali yake ya kawaida.
 
Akizungumza kwa niaba ya wazee wa makanisa wilayani humo mzee wa kanisa la Baptist, Syemi Melele, alisema vitendo hivyo vimekuwa vikijitokeza mara kadhaa na kwamba wanajipanga kuitisha makongamano yatakayoendana na maombi kwa jamii hiyo ili iache vitendo hivyo.
Jeshi la polisi wilayani humo linaendele na uchunguzi wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo na kuwataka wananchi kuwa wawazi pind yatokeapo matatizo ya namna hiyo.

Read More

0 comments:

Monday, 27 October 2014

Shirika la afya duniani limesema watu 9,936 katika nchi za Guinea, Liberia na Sierra Leone nchi ambazo zimeathirika vibaya zaidi na Ebola wameambukizwa ugonjwa huo huku watu 4,877 wakiripotiwa kufariki kutokana na ugonjwa hatari wa Ebola.
Huku wataalamu wakionya kuwa kiwango cha maambukizi huenda kikawa watu 10,000 kwa wiki ifikapo Desemba, watafiti kote duniani wanang'angana kutafuta suluhisho la kuudhibiti ugonjwa huo ambao kwa wakati huu hauna tiba au chanjo iliyoidhinishwa rasmi kupambana nao.
    Takwimu hizo zimetolewa wakati WHO ikifanya mkutano wake wa tatu wa dharura hii leo kuhusu Ebola ili kujadili juhudi za kuudhibiti. Mkutano na wanahabari kuhusu yatakayokuwa yamejadiliwa katika mkutano huo utafanywa hapo kesho baada ya kukamilika kwa mazungumzo.
Wakati huo huo, chanjo ya majiribio ya rVSV dhidi ya Ebola imewasili katika chuo kikuu cha Geneva kutoka Canada.WHO itaratibu majaribio ya chanjo hiyo sambamba na chanjo nyingine zinazofanyiwa majaribio Ujerumani, Gabon na Kenya.
Naibu mkurugenzi mkuu wa WHO Marie Paule Kieny amesema lengo ni kusafirisha chanjo kuelekea Afrika ifikapo mapema mwaka ujao ili kuanzishwa kwa kampeini kubwa ya kutolewa kwa chanjo hiyo ambayo bado haijaorodheshwa katika kadi za chanjo.
Hayo yanakuja huku Marekani ikiimarisha madurufu uchunguzi wa kimatibabu kwa wasafiri wanaotokea nchi za magharibi mwa Afrika zilizoathirika na Ebola na kutangaza wasafiri hao watalazimika kufanyiwa uchunguzi wa kina kwa siku ishirini na moja.
Rais wa Marekani Barrack Obama amesema kukiwa na mifumo muafaka Ebola inaweza kudhibitiwa kama ilivyokuwa Senegal na Nigeria



   Na Liberia imeanza kutumia mfumo wa kuwianisha taarifa za jamaa ili kuzuia wasafiri ambao wana jamaa zao waliogua Ebola hata kama hawana dalili za maambukizi kutosafiri nje ya nchi hiyo ili kupunguza kuusambaza ugonjwa huo katika nchi za kigeni.
Rwanda nayo imefutilia mbali vikwazo ilivyokuwa imeweka dhidi ya wasafiri kutoka Marekani na Uhispania kama njia mojawapo ya kuzuia Ebola kuingia nchini humo.
Waziri wa afya wa Rwanda Agnes Binagwaho wiki hii aliagiza wasafiri wote kutoka Marekani na Uhispania kuifahamisha wizara yake kila siku kwa wiki tatu ambazo watakuwa nchini humo hali yao ya kiafya baada ya visa vya Ebola pia kuripotiwa katika nchi hizo mbili.
Taarifa kutoka kwa Rais Paul Kagame hata hivyo imesema agizo hilo limefutiliwa mbali kwani haihitajiki na kuongeza waziri huyo saa nyingine huchukua hatua za haraka na kufikiri baadaye badala ya kuwa vinginevyo.
Wasafiri kutoka Guinea,Liberia na Sierra Leone wamezuiwa kuingia Rwanda na raia wake ambao wamesafiri katika nchi hizo tatu wanawekwa karantini kwa siku ishirini wanapowasili.

Read More

0 comments:

Saturday, 18 October 2014

BONYEZA HAPA KUSIKILIZA NYIMBO NA MAHUBIRI YA NENO LA MUNGU KUPITIA SOUNDCLOUD



Read More

0 comments:

Thursday, 16 October 2014


Ebola: Mistakes In Fighting Deadly Virus

A man without any protective equipment is spotted helping a nurse with ebola board a plane, the latest in a line of errors.



A man has been spotted helping a nurse in the US with ebola board a flight to a specialist unit - without wearing any protective equipment.
The man, who is carrying a clipboard, comes within feet of Amber Vinson, who is now being treated in isolation in Atlanta, Georgia.
He is seen handling items given to him by a person wearing protective clothing.
Ebola is contracted through contact with an infected person's bodily fluids, and it is not airborne.
But this incident is the latest to raise questions about the US response to the outbreak, which has killed more than 4,000 people in West Africa.
Video: Ebola Nurse Told She Could Fly
Other mistakes include:
:: Allowing Ms Vinson to travel on a commercial plane from Cleveland, Ohio, to Dallas, Texas, even though she was showing the early symptoms of ebola.
The nurse did tell officials she was running a temperature, and now the Centers for Disease Control and Prevention (CDC) is trying to track down 132 other passengers who were on that plane.
Video: Why Is The Ebola Virus So Deadly?
:: Another nurse who contracted ebola did so after an "unspecified breach of protocol". Nina Pham, 26, had been wearing full protective gear when she was treating Thomas Eric Duncan, who died after catching ebola in Liberia.
:: Healthcare workers have inadvertently violated protocols by wearing too many protective layers, according to CDC director Thomas Frieden.
:: Mr Duncan was sent home from Texas Health Presbyterian Hospital with antibiotics, despite telling medical staff he had come from the West African nation. Staff mistakenly thought he was suffering from a "low-grade common viral disease".
Video: Speed of Ebola Spread Graph
:: Workers were seen not wearing any protective clothing while they cleaned the outside of his Dallas apartment.
:: A nursing union has alleged a litany of errors in the treatment of Mr Duncan, claiming that he was kept in a non-isolated area of the emergency department for several hours and that nurses treating him were also taking care of other patients.
However, one notable success in the fight against ebola involves Nigeria and Senegal, two countries where the outbreak has been largely contained.
Video: Hazmat Crews Board Plane In Boston
Nigeria had eight deaths but brought its outbreak under control by tracking 894 people who had been in contact with a man who brought the virus from Liberia, and visiting 18,500 more people to check for symptoms.
Francisco Ferreira, the World Bank's chief economist for Africa, said the organisation was "incredibly impressed by the ability of Nigeria and Senegal to keep their epidemics contained".
CHANZO CHA HABARI  SKY.COM
Read More

0 comments:


Oscar Pistorius arrives at North Gauteng High Court for day three of sentencing
Oscar Pistorius arrives at North Gauteng High Court for day three of sentencing

Reeva Steenkamp's cousin has told Oscar Pistorius' sentencing hearing that the athlete 'needs to pay for what he has done'.
Speaking on day four of the hearing at the North Gauteng High Court in Pretoria, Kim Martin said 'everybody has suffered' since the Paralympian shot dead his 29-year-old girlfriend on February 14, 2013.
She said: "I feel Mr Pistorius needs to pay for what he's done for taking Reeva's life, for what he's done to my uncle and to my aunt, what he's done to the rest of my family but also what he has done to his family."
Pistorius makes her 'very fearful' but Ms Steenkamp's family is not looking for revenge, Ms Martin added.
Pistorius, 27, could receive a fine and a suspended jail sentence or up to 15 years in prison after he was found guilty of culpable homicide, the equivalent of manslaughter in the UK.
He was acquitted of murder after he said he had mistaken Ms Steenkamp for an intruder in his home.
Ms Martin, the first prosecution witness of the day, was completing her evidence to the court after speaking on Wednesday for the first time on how the death of the model and law graduate affected her family.
The next witness to give evidence was Zacharira Modise, acting national director for the Correctional Services, who was asked about the ability of the prison service to accommodate double amputee Pistorius.
He said that although some prisons are 'very old', every region has a 'facility where we are able to cater for people with disabilities.
Asked by Pistorius' defence lawyer Barry Roux whether his client would be kept in the hospital section of prison, Mr Modise said that would be decided only after an assessment of his needs once he arrived in prison.
Pressed by Mr Roux, Mr Modise indicated that the assessment would find that Pistorius' disability meant he should serve any jail sentence in a hospital wing - rather than be kept with other inmates in the main section of the prison.
Mr Roux asked Modise about reports that threats had been made against the athlete by inmates, but Modise said he was not aware of any threats.
Prosecutor Gerrie Nel, who began the day wishing Judge Thokozile Masipa a happy birthday, said earlier in the sentencing hearing that anything but a prison sentence for the athlete would be 'shockingly inappropriate'.
The hearing is expected to continue to a fifth day on Friday. If Judge Masipa is unable to deliver a sentence by the end of the day, the court will not resume again until November 10.
CHANZO CHA HABARI SKYNEWS Read More

0 comments:

IS waachia maeneo muhimu Kobane


Moshi ukionekana angani kufuatia mashambulio ya ndege za Marekani
Wapiganaji wa Islamic State wamelazimika kurudi nyuma katika maeneo muhimu ya mji wa Kobane ulioko
kaskazini mwa Syria kufuatia mashambulio ya anga ya Marekani, amesema afisa mmoja wa Kikurd.
Idriss Nassan ameiambia BBC kuwa IS imepoteza udhibiti kwa zaidi ya asilimia 20% ya mji huo ulio mpakani na Uturuki katika siku za karibuni.
Wanaharakati wanasema zaidi ya watu 600 wameuawa tangu kundi hilo la jihad kuanzisha mashambulio mwezi mmoja uliopita.
Jumatano, viongozi wa Marekani na Ulaya wamekubaliana kuhusu umuhimu wa hatua zaidi kuzuia wapiganaji wa IS kusonga mbele katika nchi za Iraq na Syria.
Katika mkutano wa video, Rais wa Marekani Barack Obama na viongozi wa Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia wamesema wataongeza msaada pamoja na "njia ya kisiasa" nchini Iraq na kutoa mafunzo kwa majeshi ya nchi hiyo.

'Oparesheni Safisha'

Wapiganaji wa Kikurd katika mji wa Kobane wakipambana na wapiganaji wa Islamic State
Bwana Nassan, msemaji wa Popular Protection Units (YPG), amesems wanamgambo wa Kikurd wamepata mafanikio dhidi ya IS katika mji wa Kobane tangu Marekani ianzishe mashambulio ya anga.
"Labda katika siku chache zilizopita Islamic State walikuwa wakidhibiti asilimia kiasi cha 40% ya mji wa Kobane, lakini sasa ...Ni chini ya asilimia 20% IS wanadhibiti mji huo," amesema. "Jumatano, YPG ilianza operesheni safisha mashariki na kusini-mashariki mwa mji wa Kobane."
Marekani imesema Kobane bado uko katika hatari ya kuanguka kwa sababu ya kuonghezeka kwa idadi ya wapiganaji wa jihad wanaowasili katika mji huo.
Zaidi ya Wasyria160,000 wamekimbia mji huo na kuvuka kuingia Uturuki na wanaishi katika makambi.
Read More

0 comments:

Ebola:BBC kutoa taarifa kwa 'WhatsApp'


Watu wengi barani Afrika wanatumia huduma ya Whats App kutumiana ujumbe mfupi
BBC imezindua huduma mpya ya umma ya kiteknolojia inayotoa taarifa za afya kuhusiana na ugonjwa wa Ebola kupitia kwa programu ya kijamii ya kutuma ujumbe mfupi kwenye internet ya 'WhatsApp.'
Programu hio inawalenga zaidi watumiaji wa Internet katika kanda ya Afrika Magharibi.
Huduma hio itawezesha wasomaji kupata taarifa kwa njia ya sauti, ujumbe mfupi na picha kuwasaidia kuepukana na maambukizi ya Ebola katika kanda nzima.

Janga la Ebola limewaua zaidi ya watu laki nne Afrika
Taarifa zitakazopatiakana kwenye App hiyo zitakuwa angalau tatu kwa siku na huduma yenyewe itakuwa kwa lugha ya kiingereza na kifaransa.
Ili kupata taarifa kupitia kwa programu hiyo, tuma ujumbe mfupi...kupitia kwa WhatsApp kwa nambari +44 7702 348 651
WhatsApp ndio programu inayotumiwa sana kwa kutuma ujumbe mfupi barani Afrika na kwa kuitumia inaa maana kuwa ujumbe huo utawafikia mamilioni ya watu barani Afrika kupitia kwa simu zao za mkononi.
Read More

0 comments:

Recent News