Pages

Pages

Thursday, 30 October 2014

AJALI MBAYA YATOKEA JIJINI ARUSHA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjN6f05T8sAOt5lDuwZo9G-Rwkk7vlW0vGA101MVhkVPK_YSWCEBCCYR6JxQle_ymRKpsYF_ktAcBRMHDuQiblZ83T5Ry-_oEnwfGrgjkxGuVjrmJCx9pTsKErnMcwkG56NB5MxR0IRwTI/s1600/IMG_20141029_215400.JPG
pichani ni gari ya abiria yenye namba T519 DBJ iliyopata ajali mjini Arusha
   Ajali mbaya imetokea eneo la Tengeru jijini arusha ikihusisha gari ndogo ya abilia yaan hiece inayo fanya safari zake Usariver na katikati ya mji wa Arusha na gari ya mafuta watu tisa wamefaliki papo hapo  na wawili kujeruhiwa vibata kutokana na ajali hiyo mbaya iliyo tokea eneo la Makumila wilayani Arumeru ambapo magari hayo yamegongana uso kwa uso

  Kamanda wa polisi mkoa wa  Arusha Lebatus Saba anasema ajali hiyo imetokea mida ya saa kumi na mbili jioni ambapo gari ndogo ya abilia ili hama kwenye site yake na kuivaa gari ya mafuta yenye namba T582 ACR lililokuwa likitoka Moshi kuelekea Arusha.
 Masuhuda wa ajali hiyo wanadai kuwa ni uzembe wa dereva wa gari  ndogo hivyo wakaomba viongozi wanao husika na seria barabara ni kutengenezahttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgudB8IHrqtLrrOYoVFtQmwn8jLR6f9HMzJfJYaKR6-6ootsdT_-IKZkhd_ik4RgHQhuSQ1mrueite2vEst6ZFwanatgiw1bug3AQclABaMeKAg6QpZgCosBPMHHw3SMtcXkzRnfvfYCPg/s1600/IMG_20141029_215429.JPG

No comments:

Post a Comment