Apostle Jeremiah M A akiwa na menyeji wake mchungaji Mchungaji Mkisi katika ibada ya Jumapili asubuhi
Tumaini Mbembela akiwa katika ibada ya sifa katika ibada nzuri ilyojaa uwepo wa Bwana
Waumini wakifurahia uwepo wa Bwana katika ibada
Mchungaji Mkisi hakubaki nyuma aliamua kuingia katika sifa na hatimaye kuchukua jukumu la kuogoza nyimbo za kusifu na kuabudu ilileta raha mmno katika Bwana
Apostle Jeremiah Mwakanyelenge aliyetunukiwa cheo Cha Postor katika ibada hiyo muhimu na nzuri
Mtumishi wa Mungu akifafanua jambo katika mahubiri yake
Mungu aliamua kuwahudumia watu katika ibada yamaombezi hakika Mungu alimtumia mtumishi wake Apostle Jeremiah
Ibada yenye uwepo wa Mungu watu walibubujika hakuna aliyehangaika na mwenzake kila mmoja kwa Mungu tu
Tuesday, 8 July 2014
Unknown
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit. Ut odio. Nam sed est. Nam a risus et est iaculis adipiscing. Vestibulum ante ipsum faucibus luctus et ultrices.
Follow me @Bloggertheme9
Advertise Here
Popular Posts
-
Bonyeza hapa kusikiliza JP Radio FM...Nyote mnakaribishwa HOJA YA UCHAWI KANISANI; ONGEZEKO LA IMANI ZA UCHAWI MAKANISANI TANZANIA...
-
KWA TAARIFA YAKO : HII NDIO SIRI YA SOLO MAARUFU WA KINONDONI REVIVAL CHOIR Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele...
-
TAFSIRI YA NAMBA 5 KATIKA MAANDIKO Mchungaji Peter Mitimingi, mkurugenzi wa The Voice of Hope Ministries (VHM). Namba TANO ...
-
UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YA FILAUNI : HII NI IMANI YA KIPEKEE KULA MAJANI Mdada akila majani ambayo huduma hiyo wan...
-
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya d arasa la Saba mwaka 2014 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 5...
-
Askofu mteule Conrad Nguvumali wa Jimbo la Rukwa Askofu Mteule C. Nguvumali pamoja na mke wake wakati wa sherehe ya kumpongeza Asko...
-
Umati wa watu uliofurika katika viwanja kanisa la EAGT mwaka katika mkutano wa Injili Tunduma Mtumishi wa Mungu Joseph Lwiza maar...
-
Mchungaji na mwimbaji Daniel Mwasumbi aachiwa huru baada ya kushinda rufaa kutokana na kesi tata iliyokuwa ikimkabiri Mtoto wa Mchungaji ...
-
WANAFUNZI WA SHULE MBALIMBALI WAKIWA KATIKA MAZINGIRA YA MTIHANI baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye chumba cha mtihani wanafunzi wakiwa ...
-
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mtandao mmoja nchini Kenya unaoendesha shughuli zake nchini Kenya kuanzia ...
%2B(1).png)
0 comments: