Pages

Pages

Friday, 13 June 2014

Waimbaji wakimsifu na kumtukuza Mungu katika mkutano wa Neno la Mungu unaoendelea katika viwanja vya EAGT-Kisima cha baraka Uyole.
Baadhi ya watu waliowahi kufika kwenye unaoendelea hadi tarehe 15 Jumapili ya wiki hii katika viwanja vya kanisa la EAGT-Kisima cha Baraka Uyole-Mbeya.
Apostle Jeremiah Anyelwisye Mwakanyelenge akizungumza na mwimbaji wa nyimbo za Injili Bony Mwaitege katika viwanja vya mkutano.

No comments:

Post a Comment