Pages

Pages

Monday, 2 June 2014

HATIMAYE CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI CHA PATA UONGOZI MPYA WA SERKALI YA WANAFUNZI TEKUSO

Rais mpya wa TEKUSO Ndugu Selemani Izack akila kiapo cha utii mbele mwanasheria wa Chuo Hon Martha Gwalema na kusaini hati ya kiapo
Makamu wa Rais Ndugu Benjamini Nehemia akiapishwa kiapo cha utii kwa nafasi hiyo ya umakamu wa raisi kwa serkali ya wanafunzi TEKUSO mbele ya Advocate  Martha Gwalema

Tunawatakia utumishi uliotukuka 

No comments:

Post a Comment