- Kutokuwaheshimu wazazi wako . (Waefeso 6:1-3)
- Kukosa maono .(Habakuki 2:1, Mithali 10:7)
- Kutokumcha Mungu(Mithali 10:27. )
- Kumwekea Mungu mipaka ya kufanikiwa(Zaburi 78:41, Hesabu 13:41)
- Kutomtumikia Mungu kwa kipawa alichokupa(Kutoka 23:25-26, Mithali 3:1-2, Yohana 14:21)
- Maisha ya dhambi(Warumi 6:23)
- Kukosa bidii katika kumpenda Mungu(Zaburi 91:14-16, Mithali 3:1-6)
No comments:
Post a Comment