Pages

Pages

Sunday, 20 April 2014

Mwimbaji wa nyimbo za injili Tumaini Mbembela akimwimbia Mungu wakati ibada ya sifa katika semina ya neno la Mungu ndani ya kanisa la Moravian Isanga inayoongozwa na Apostle Jeremiah Mwakanyelenge..


      Fundi mitambo Jimmy Mwankemwa akihakikisha mambo yanakuwa sawa wakati wa semina.

No comments:

Post a Comment